Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kellz went in. G went in. That's a BOP to kick off the weekend. Have a great one.

20210910_193633.jpg
 
Haka ka utaratibu kufurahia break wakati wa primary school umekuja mpaka ukubwani, ikifika friday unakuwa na furaha sana... nafikiri wengi wanafanya kazi ambazo zilikuwa si ndoto zao... ni ile kufanya mkono uende kinywani hasa kazi za maofisi zinachosha sana...

kuna jarida fulani USA waliweka takwimu kwamba siku za kuamkia monday watu wengi huwa wana stress, wengine hata kupata shinikizo la damu n.k... mawazo ya kazi...
nafikiri kazi zina mchango mkubwa kwenye afya ya mtu idhoofu au iimarike...
Ingawa inategemea na aina za kazi lakini kazi za kuajiriwa ndio zina changamoto kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom