Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Nifundishe basi na mimi hio kazi, mtaji kiasi gani?Yaani ukisubiri kazi ya ndoto unaweza kaa unasubiri tu.
Kikubwa ni kufanya tu yoyote ili mradi mkono uende kinywani.
Mfano mimi naokota makopo mjini hapa,baadaye narudi na miambili yangu Safi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ni kuokota makopo na kuuza .Nifundishe basi na mimi hio kazi, mtaji kiasi gani?
And hauna weekend?
Kuna ugali mboga na mboga ugali...#mkonowangumwenyewe 🙂🙂View attachment 1932053
Unakulaga kidogo sana lizy tukija wageni kama mimi si tutalaumiana buree ahaha unakuta kaugali ka mtu mmoja nyie mwala nyumba nzima.#mkonowangumwenyewe [emoji846][emoji846]View attachment 1932053
Wasukuma wanajua hio ni ice cream...Unakulaga kidogo sana lizy tukija wageni kama mimi si tutalaumiana buree ahaha unakuta kaugali ka mtu mmoja nyie mwala nyumba nzima.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Depal wewe ni kisuLong time hizooo [emoji1787] Zamani sana... [emoji41]View attachment 1930994
Asante ngoja niendelee kuona mema.
Unakula unaposubiri chakula rasmi kije hahahaWasukuma wanajua hio ni ice cream...
[emoji23][emoji23][emoji23] ileje mbali sema saiz naskia kuna njia ya lami inakuwa powa kidogo
heheheehh!!!
ANKO JEI wasiwasi wako tu. We ni-convince siku nikukaribishe uone. 🙂😀 Walaji wakiwepi wa uhakika na chakula nacho hivyo hivyo!Unakulaga kidogo sana lizy tukija wageni kama mimi si tutalaumiana buree ahaha unakuta kaugali ka mtu mmoja nyie mwala nyumba nzima.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Asante#mkonowangumwenyewe [emoji846][emoji846]View attachment 1932053
[emoji1787][emoji1787]Unakulaga kidogo sana lizy tukija wageni kama mimi si tutalaumiana buree ahaha unakuta kaugali ka mtu mmoja nyie mwala nyumba nzima.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Kutoka hapo hadi makao makuu ya Ileje ni dk 30 tu![emoji23][emoji23][emoji23] ileje mbali sema saiz naskia kuna njia ya lami inakuwa powa kidogo