Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Watoto wa kishua nyie.heheheehh!!!
asee kuna njemba zinakula, nlisoma na njemba zina piga addition ya ugali maharagwe, mimi wakati huo natorokea mjini kati at least nile ubwabwa samaki....
Sisi wa madongo kuinama tumepiga sana addition za ugali maharage.
Sent using Jamii Forums mobile app
,imetandikwa ikatandikika,nzuri balaa unadhani ulaya huko





