Selfika na JF: Snap it. Show it

Zanzibar inaundwa na visiwa viwili, Unguja na Pemba. Watu wengi wanaichukulia Zanzibar kama Unguja.

Nilimaanisha hiyo sehem iko Unguja ambayo ni sehem ya Zanzibar
Yeah naelewa kuwa Zanzibar ni muunganiko wa visiwa vya Unguja na Pemba

Ila kiujumla Zanzibar ina mikoa mitano ambayo ni Mjini Magharibi, Unguja Kaskazini na Kusini, na Pemba Kaskazini na Kusini

Sema labda kwa vile watu wengi hawaufahamu huo mkoa wa Mjini Magharibi hivyo kuwarahishia ndiyo ukasema Forodhani iko Unguja right
 
Hahahaha, toa Coordinates sahihi, Kuna location kama hizi zaidi ya nne humu mjini.
Hahahaha, toa Coordinates sahihi, Kuna location kama hizi zaidi ya nne humu mjini.
Tatizo sponsor unachelewa kutoa muongozo
πŸ™πŸ™


Mpaka nimefika home yani πŸ₯΄πŸ₯΄
Kama chai inapanda njoo huku shamba πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…