😁😁nimeitoa kwenye mitandao hukoAu hio midomo si yako nini?
Si unaelewa ukishafanya vurugu kule jukwaa la siasa... unaishi kama digidigi hapa jf... sasa najuta kwa nini niliingia kule... nakosa mengi...Ndiyo mkuu.
Hebu weka mkuu,,umenivutia na nimetamani nikuone,
Usinibanie mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Who knows!! may b😁😁nimeitoa kwenye mitandao huko
Mkuu usijute.Si unaelewa ukishafanya vurugu kule jukwaa la siasa... unaishi kama digidigi hapa jf... sasa najuta kwa nini niliingia kule... nakosa mengi...
Karibu tukule.Sahani yenye mpangilio... nice mkuu!!!
Kuleteana njaa jamaniKuku+Pork
View attachment 1924840
Mtumie hata pm mkuu. Usimbanie mrembo namna hiyoSi unaelewa ukishafanya vurugu kule jukwaa la siasa... unaishi kama digidigi hapa jf... sasa najuta kwa nini niliingia kule... nakosa mengi...
Thanks mkuu!!!Mkuu usijute.
Mimi mwenyewe kule huwa nafanya fujo japo nilishaacha.
Selfika tu mkuu wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks!!!Karibu tukule.
Nasikitika Kuna comment uliniquote umeifuta.
Kama ni ya picha naomba irudiwe tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Loh jamani weweIt was yesterday. This today's
View attachment 1924950
NobodyWho knows!! may b
Mtumie hata pm mkuu. Usimbanie mrembo namna hiyo





Zangu zimejaa humu.Thanks mkuu!!!
Thanks!!!
Nitakutumia mkuu... lakini nipate na ya kwako...
Teh huyo Wyatt utasubiri sana mama
Asante umenisaidia kuomba.
Bado nasubiri yako na ya Wyatt Mathewson
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mtakatifu njoo ombi lako limefanyiwa kazi huku
Pilau ndege...It was yesterday. This today's
View attachment 1924950