Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,388
Amini nakuambia picha zangu zipo nyingi humu..tena nyingine full kabisa...Picha zako au za sahani ya misosi?
Usijefanya kijana akaanza zunguka page zote 5314 kutafuta picha.
Tiririka utusaidieNikiangalia midomo yako naweza guess tabia yako hata moja... by the way una midomo mizuri...
Nitiririke?
Mkuu weka na sura tuone.Home chilling sunday....
View attachment 1924673
Wewe na Holy Man hamjawahi kuselfika hapaMwenye duffle bag namjua. Bishoo mmoja hivi anaitwa Holy Man enzi anakuja town.
Home chilling sunday....
View attachment 1924673
Hahaha Holy Man mkulima wa mbalali ukonunategemea anajua nini? Achana nae.Wewe na Holy Man hamjawahi kuselfika hapa
Selfika basi tuwaone jamani,acheni kutubania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nicomfirm kwanza.Amini nakuambia picha zangu zipo nyingi humu..tena nyingine full kabisa...
Tafuteni mtaziona.
Hizi za misosi nimeanza kupost hivi karibuni maana picha zangu zote nishamaliza kuzipost humu.
Mkuu tangu jana nasubiri picha yako hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uweke picha ya nywele zako unazodhani ni mbaya [emoji4]
Uconfirm picha??Ngoja nicomfirm kwanza.
Weka basi yako.Hahaha Holy Man mkulima wa mbalali ukonunategemea anajua nini? Achana nae.
Leo church hiyo.Linapokuja suala la church huwa sina mzaha kabisa!😁😁😁
Wacha[emoji7]Leo church hiyo.Linapokuja suala la church huwa sina mzaha kabisa![emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1924711
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa mkuu....Tiririka utusaidie
Nimerudi hadi page 5200 sijakuona.
Tirirrika chiefNikiangalia midomo yako naweza guess tabia yako hata moja... by the way una midomo mizuri...
Nitiririke?