Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha mi nikichukia hata kuandika siwezi,, saiv mtu akiniboa naenda mahali pakimya narelax kwa muda nikirudi namlia timing namla kichwa
 
Sipendi sipendi sipendi mtu anaetaka kubishana ili abishe tu. Unakuta limtu halina fact ila linakubishia. Unaweza tamani umpige
 
Halafu nimegundua uzi una nyota yake huu,, watu wanalumbana kistaarabu ndo maana bado upo we nyuzi nyingine kunakuwaga na fujo mpk unahisi uko msituni unakimbizwa
 
Hakuna aliwai kushindana na mwanamke akashinda ,yule kayakanyaga mtoto wa kiume unaanzaje kubisha na mdada tena unamchamba kabisa yani unamkosoa ....
Huo ndo u-james delicious mwanaume unavunga tu yapite
Usiendeleze mada na mimi mkuu, we endelea kusoma comments enjoy pic bhaaaaaaasi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Achana nao tuendelee kuenjoy Pics +Comments
 
Nilikuwa naumia roho nikihisi tunajichosha kuandika na wewe upo bize na kazi hauna hata muda wa kusoma kumbe unafuatilia hatua kwa hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…