AsubutuuYaani wewe tena nafasi ya nne ndio inakufaa kabisa,kwanza tunafunga mahesabu pili unakuwa pamoja na mimi sababu wale watatu wa mwanzo wataungana kukuhujumu wewe,basi mimi ndio nitazidisha mapenzi tena na tena.
Hakuna starehe kama ya kuwa na wake wengi bibie.
Nimemaliza .....
Mwenye pesa ndio wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Achana na huyo takataka. Halafu sijui nilimbebea bwana. Maana kanikalia kooni utasema nashea nae. Nishamwambia asinizoee ila akiniona tu genye zinampanda.
Na hata kama natapeli nishamwambia natapeli wenye hela sio maskini kama yeye
Nimetoa angalizo tu watu wawe naye makini.
Hata dini inatufundisha tukiona jambo baya tuliondoe kwa mkono, kama si kwa mkono tulikemee, kama sio kukemea tujiepushe nalo.
Unabisha ?Asubutuu
Uncle acha uzi uendelee in peace...huu uzi una wafuatiliaji wengi kuliko wanaochangia(nikiwemo mie)
Tuenjoy na picha chache zinazotumwa
Bob yaishe acha Uzi uendelee unavyopaswaAisee ,imekuuma eeh?
Badilika sio tabia nzuri hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mama naona sasa unataka kujiharibia CV yako ya kutokula ban tangu ujiunge JF
Dada naona wabaya wanakutafutia ban kwa Hali na maliWe bwana nikupige una hela? Embu kwenda huko.
Aisee ,imekuuma eeh?
Badilika sio tabia nzuri hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mama naona sasa unataka kujiharibia CV yako ya kutokula ban tangu ujiunge JF
Mamaaa Nyigu wangu unanikana🤣🤣🤣🤣Muongo ,,
Hajaweka[emoji1787][emoji1787]
Sasa anaelewaga basi? Akiona makalio yanamuwasha lazima aje anipumzikie
Hola mpk Sasa😆😆😆Alikujibu?
hahahahaha tabia za Aina hii sio poa kabisa kwa ME.
Usiwaze nafahamu fika mambo ya watu humu
Dozi imekuingia haswaaa.Wewe mwanaume mwenye tabia za kike narudia tena UNIKOME. Sikujui hunijui unaanzaje kuniongelea ufala?
Kwanza sipendagi mazoea na mashoga tuheshimiane tafadhali.
Tapeli nilikutapeli wewe? Kwanza hela huna nakutapeli mambupu au? NIKOME
Na dawa ya kutotoa kiki ni kumkalia kimya,usimjibuAnataka kik na hatutoi kik. Akafungue uzi wake aandike shudu zake huku tuko kwenye amani
Mwenye pesa ndio wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwa lipi haswa ulilonalo ?
Ni sifa??Kuoa wake wengi.
Huyu Hana ligi ila vichambo vyake sio vya nchi hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanini eti jamani?? Wakati mimi ndiyo naona sikufikii wewe kwa vichambo!! Vile vichambo mlivyompa yule kaka ningepewa mimi ningetoka JF milele
Uwezo wa kunipiga huna, utaishia kwa hao hao mambugila mbugila.We bwana nikupige una hela? Embu kwenda huko.