Mimi hakuna mtaa sijawahi kwenda.
Nilianza kwenda shule ya jumapili Nikiwa mdogo sana na niliacha baada ya kumaliza STD 7 na kwenda sekondari.
Miaka takribani 10 naitumikia shule ya j2
Nilikuwa muanzishaji nyimbo,pia nilikuwa mpiga ngoma.
Tukienda huko tunafundishana nyimbo kibao...yaani mmarudi home mmechoka lakini mmefurahia.
Kuna namna mtoto anajengeka kwenye yale mazingira.