Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,486
Nimecheka sana,
Ngoja na mimi siku moja nitajaribu t-shirt ya mtoto wa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumiss pia,nimemmiss ISO M.CodD
Dah yaani natamani turudiee..nilikaa na nyie muda mfupi sana,hata hatukupiga stori sana[emoji1751].
Roho iliniuma Sana.
Enjoy what you have (what you get)
Don’t be disappointed by what you can’t get
Usijali anytime ukiwa na time nichek tunaweza kuarrange kitu
Ila ilikuwa [emoji91][emoji91] nilienjoy kwa kweli
JF idumu.