Unamashauzi ila utajua mwenyewe...
Kuna sehemu umetouch bila kujua ikaondoa hizo features... Maana mi mwenyewe ilishanitokea.
Cha kufanya, bonyeza bonyeza huko kwenye hizo fonts sijui features kuna mahali utabahatisha.
Try this....mkono wa kulia kuna feature ipo kama kibox flani ila hakijafunga pande zote, ule upande ambapo hapajafunga kuna kidude kama kile cha kuzoom au kutazamia vitu vdogo vionekane vikubwa. Bonyeza hicho.... Jitahidi kuelewa 😂