Yesu ni wimbo wangu uh uh
Furaha ya Moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
We ndo mpenzi wangu sitakwacha
Niende wapi?nimekuchagua wewe
Nimfwate nani? kwako Kuna utulivu
Tangu nilipokupokea wewe Yesu
Roho yangu ikajaa tumaini
Roho ikajaa na furaha
Tegemeo langu ni Yesu
Msaada wangu wa karibu ni wewe
Nakutegemea Yesu wangu
.........β¦.β¦β¦.β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦
Yesu ni wangu wa siku zote
Yeye anajua maisha yangu
Hata usiku hata mchana
Yesu ni wangu wa siku zote
β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦
.
Hata ningekuwa na mchumba
Hata ningekuwa na mume wangu
Angenipenda kamanda Yesu
Yesu ni wangu wa siku zote eh eh eh
Hata ningekuwa ningekuwa na babangu
yeyeyeyeh
Angenipenda kamanda Yesu
Yesu ni wangu wa siku zote
View attachment 1882181
This song
Chandelier de Gloire