Kwendraaaaajamaa yako anakojolea pazuri
Kunae mababa handsome, wako hot hotZimefika babe ila ako na sura ya baba
Labda wanaume wenzie wanamchoraImebidi azuge ni id mpya maana anajua ni uongo .
Pm imekauka hatari.
Fwala wewe nimecheka sana ebu acha wivu sharing is caring
Hahahah baba yetu anatishaKunae mababa handsome, wako hot hot
Kapeace nacheka sana ebu niache umevuta nini lakiniUko sexy shuny
Jamaani guyz, naombeni popote pale mlipo tusimame na tufumbe macho tuwaombee toba wale mafurushi wote waliodai JF haina watoto wakali..!!Mdogo wake shunie anakusalimiaView attachment 1223254
Nimeshatega makombora,ajichanganye tu.
Mbona wako wengi tu humu maconcord wa ubishi
Somo limeeleweka.Ni wazi somo limemuingia mi kwangu ni furaha, hizi fujo sizipendi kabisa lakini inapobidi kuingia nakuwa sina namna,, nimeshakosana na mabaharia wengi tu humu sababu ya hizi fujo......vichwani mwao itakuwa naitwa mama kiherehere but i don't care
Jamaani guyz, naombeni popote pale mlipo tusimame na tufumbe macho tuwaombee toba wale mafurushi wote waliodai JF haina watoto wakali..!!
Kapeace nacheka sana ebu niache umevuta nini lakini
πππ Nikitupia mguu hapa Server zitazimika ghafla halafu ntaambiwa nimeugoogle!Me na chama langu tutakupigia za kutosha na venye tulivyo na nguvu ya ushawishi π
Tupia hata mguu kwa dk mbili me na kaka angu SYB tunasubiri, tukishalike tu unafuta ππ
Ndio, alisema mara 3 nafuata Mimi
Somo limeeleweka.
Na somo lenyewe ni kila mtu aishi maisha yake bila kuingilia Uhuru wa mwenzake.
Hata kama mimi ni mbaya sio sababu ya wewe kunisimanga.
Hata kama sina kazi nashinda jf, kama sijakuomba hela hauna sababu ya kunisimanga.
Kama najiuza pia hauna haki ya kunisimanga.
Kama nafake maisha ndio kabisaaa hauna haki ya kunisimanga ukitaka na wewe fake.
Melo hakukosea kuita jf ni jukwaa huru. Sio watu wengine wanataka tuishi kwa kuwalamba miguu kisa unahisi anapicha yako ataipost. Hiyo haipo tena.
Asanteni sana jeshi la wanawake mliojitolea kutokomeza hii tabia.
Hapana sio kwa nilichokiona , mdogo etu yuko π₯π₯Hahahah baba yetu anatisha
Zinamuhusu muhusika mrembo.Hizi mbwembwe zinatuhusu???
nadhani ungemwambilia pm tu