Kunenepa ni hadi niamue mwenyewe.
Sasa mkuu nakunong'onezaje wakati hata sizijui na majina sijakariri,,wamenitajia nyingii majina magumu ili nichanganyikiwe.
Wewe niletee yoyote yenye sukari na isiyonuka kama kinyesi.
Nipo hapa Uyole boss,Asante Sana