Hajawahi kunywa, nilishamchagulia saint Anna ni tamu lakini kutwa kuijadili
au basi akwende kwa Altar wine, ila haijaandikwa alcohol percent ni kama tu non alcoholic.
Nasikia Altar wine ndio inatumia altareni
atest hiyo.
Huyu binti msumbufuuu
Saint Anne sana.