Hajawahi kunywa, nilishamchagulia saint Anna ni tamu lakini kutwa kuijadili 😂 au basi akwende kwa Altar wine, ila haijaandikwa alcohol percent ni kama tu non alcoholic.
Nasikia Altar wine ndio inatumia altareni 😂 atest hiyo.
Huyu binti msumbufuuu
Saint Anne sana.