EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
Umenichekesha Sana we fala
Exactly madam, Mimi nilipoenda nilikuta bei 3500. Kwahiyo nilibeba vingi, isingekuwa udogo wa gali letu ningebeba vya kuwagawia na akina Depal manake ni mpenzi sana wa Chipsi πKule viazi vingi sana
Ukivibahatisha wakati wa mavuno huwa Bei haizidi 5k debe
Mungu anibariki na Mimi nipate ka Baby Girl Kama haka ili nianze kufuga Mbwa wale wa Kizungu nyumbani.my baby girl View attachment 1877967
Mkuu nina Mbwa wakubwa wawiliMungu anibariki na Mimi nipate ka Baby Girl Kama haka ili nianze kufuga Mbwa wale wa Kizungu nyumbani.
Kama hautajali naomba undugu Mkuu wangu tulete Posa mapema na tuanze kumsomesha Mkwe kwa Gharama zetu (Jokes)
msiite kikao...semeni tulikua na mazungumzokikao cha mashehe hicho(huoni tupo ndani ya kanzu)huwezi kukuta biahapo
wameharibu mantiki nzima ya kikaoUmenichekesha Sana we fala
Umetisha Mkwilima mwenzangu, najua mkwe wangu yuko mikono salama na hakuna kijana mwingine atakae ruhusiwa kuja hapo nyumbani hata kuomba maji ya kunywa isipokuwa kijana wangu.Mkuu nina Mbwa wakubwa wawiliβπ¦Ίβπ¦Ί kibali cha bastola yule mpuuzi wa sinza kaniharibia bado napambana
Kabisa aisee huyu asiposoma manyang'au yatamchakaza mapema saaaaanaUmetisha Mkwilima mwenzangu, najua mkwe wangu yuko mikono salama na hakuna kijana mwingine atakae ruhusiwa kuja hapo nyumbani hata kuomba maji ya kunywa isipokuwa kijana wangu.
Tuendelee kuwasomesha Shule nzuri ili waweze kuyashinda mazingira yao ya baadaye.
Kuhusu assets za watoto tayari kijana wangu nimemnunulia hisa makampuni kadhaa ikiwemo ya Microsoft
We mkwe mzuri mwanao aje kwa adabu maana kakaake ni mtata balaaUmetisha Mkwilima mwenzangu, najua mkwe wangu yuko mikono salama na hakuna kijana mwingine atakae ruhusiwa kuja hapo nyumbani hata kuomba maji ya kunywa isipokuwa kijana wangu.
Tuendelee kuwasomesha Shule nzuri ili waweze kuyashinda mazingira yao ya baadaye.
Kuhusu assets za watoto tayari kijana wangu nimemnunulia hisa makampuni kadhaa ikiwemo ya Microsoft
Huyo Kakaake nimpenda namna ananilindia Mkwe wangu.We mkwe mzuri mwanao aje kwa adabu maana kakaake ni mtata balaa
Muhimu sana asome, kwanza itamletea kujiamini lakini pia itakuwa ni maandalizi ya kesho yao. Hata kama Wazazi tutawaachia Mali na Kampuni itakuwa rahisi wao kuziendeleza.Kabisa aisee huyu asiposoma manyang'au yatamchakaza mapema saaaaana
Poa mkuu msomeshe mwanao asije mpa mzigo mrembo wanguMuhimu sana asome, kwanza itamletea kujiamini lakini pia itakuwa ni maandalizi ya kesho yao. Hata kama Wazazi tutawaachia Mali na Kampuni itakuwa rahisi wao kuziendeleza.
Kila la Kheri Mkwilima
DuhhhNgosha car wash karibu na mahakama kuu, muosha magari baada ya kuosha gari Ford Ranger akaenda kutamba Makulu akapata ajali kama inavyoonekana hapo, akapata uchizi wa ghafla.leoView attachment 1877445
Hahaha......bila Shaka Mkuu, najitahidi kumsomesha kwenye shule nzuri tangu awali. Nadhani pia Wakwelima sisi tujipange kumwona Rasi Simba kwa short course , kijana amesahau kuongea Kiswahili Chetu π.Poa mkuu msomeshe mwanao asije mpa mzigo mrembo wangu
Hahaha......bila Shaka Mkuu, najitahidi kumsomesha kwenye shule nzuri tangu awali. Nadhani pia Wakwelima sisi tujipange kumwona Rasi Simba kwa short course , kijana amesahau kuongea Kiswahili Chetu.
Ili kuepuka kuitwa Mwanaume Suluali na Mkwe wangu siku za Usoni, kijana wangu akifika 18yrs ataanza kujifunza kuendesha biashara ili aanze kuuchukia Umasikini mapema.