Hayo maji ya dew drop uwa ni mazuri. Na chupa yake inakuwa na mvuto flani hivi huwezi compare na chupa za uhai
Probably atakuwa ni T 1990 ELYHuyu anaweza kuwa nani View attachment 1869461
Uchebe πGood morning palsView attachment 1869735
[emoji1][emoji1]Nataka niunyoe huoUchebe [emoji16]
Maisha hayako fairHe's just 29yrs old...Neymar jr.View attachment 1869482
πππ Na hayatokaa yawe fair kwenye ardhi hii iliyoachwa na kina Adam & EvaMaisha hayako fair
Wengine umri huo ndiyo tulikuwa tunapambana na mishahara kiduchu ya Wahindi wenzetu wanamiliki Chopaππ
Kwa kweli, alafu kwenye maandiko wamesema utafuteni kwanza ufalme wake na hayo mengine mtazidishiwa.πππ Na hayatokaa yawe fair kwenye ardhi hii iliyoachwa na kina Adam & Eva
π€£π€£ hujachelewa bado na wewe litimize.Kwa kweli, alafu kwenye maandiko wamesema utafuteni kwanza ufalme wake na hayo mengine mtazidishiwa.
Nadhani Neymar JR ametimiza sana hilo takwaπ
Anyways, Hujambo lakini bibie?? Fanya kunitumia Sato kilo 10 π
π€£π€£ hujachelewa bado na wewe litimize.
Sijambo. ... Mbona huu mkoa nilipo hauna Sato wala Sangara? Hapa nilipo labda ndizi mshale au ndizi ng'ombe π€ͺ
Nitafanya hivyo.. ila ukitusua usisahau waliokuombea πNiombee kabla mwaka haujaisha nitusue, dalili nimeziona kwa Neymar JR π
Kumbe hatuko mbali sana, fanya chane 3 nikapate mbuzi choma ππ
Usijali, nikifanikiwa kupata walau thelethi ya Utajiri wa Neymar JR basi Toyota V8 itakuhusu kama zawadi. Endelea kuniombea πNitafanya hivyo.. ila ukitusua usisahau waliokuombea π
Wee zinakuja na boda π we zisubiri stand tu
Inshallah... Mathayo 7:7-9Usijali, nikifanikiwa kupata walau thelethi ya Utajiri wa Neymar JR basi Toyota V8 itakuhusu kama zawadi. Endelea kuniombea π
Tumwombe huyo boda awahishe hizo ndizi, manake mbuzi huku anashuka kwa haraka Sana kwa support ya π₯
Nimesoma hiyo Mathew 7:7-9 nimefarijika sana.Inshallah... Mathayo 7:7-9
Anakaribia. Sogea stand π
Ukimkaribia huyo Dada anayevuka barabara hapo mbele mpe hongera, mwambie amependeza sana.