Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakazia FURUSHI
 
Yaani kosa la mtu mmoja ukandie watu wote.
Ajifunze kwetu, kosa ni lake na tumedeal nae yeye bila kuhusisha wanaume wengine wa jf.
Sio umekutana na sample moja haijakuridhisha ndio unajidai umeiona jf nzima.
Yes wamo wanaume humu wema na wabaya na nimeshakutana nao lkn siwezi kuponda wote kisa hao wabaya wachache walionikwaza,
 
Hahaha katika vitu sipendi ni dhihaka mpaka kumfanya mtu akakosa uhuru na kujiamini!!! Halafu vifanywe na mwanaume!! alimkosea sana demiss na juzi nilimwambia kiungwana tu amuombe radhi
Alimkosea nana halafu eti ndio anajiona ana malezi mazuri na wenzie wana malezi mabovu. Mie nilimpa makavu vikamuingia akaishia kunitukana.
 
Kazi? Afanye kazi saa ngapi na apate muda saa ngapi wa kuzunguka pm kutafuta picha za wadada wa jf.
Ona hapo amesema ana file kabisa na atakuwa anachomoa betri kwa mmoja mmoja. Sasa huyo kazi anafanya saa ngapi.

ACHOMOE SASA TUONE. hata akichomoa kwa ID nyingine mwandiko wake naujua. Picha ya mdada yoyote itakayochomolewa betri nanunua ugomvi.
 
Naona kimbunga Kenneth kimehamia humu


Aisee kimbunga kikali Sana...bomu limelipuka,kisije kunizoa Mimi walahi na hizi kilo zangu mbili..wacha niondoke Mimi.
Mshana Jr Kaka nilikwambia usipulize Tena dawa nimeshika wingu

Unaona Sasa ulivyo changanya mambo huku


Naenda tatu kavu kushika wingu.
Bye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…