T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,934
- 30,093
Ni kwa neema tu
Ni muda wa kuacha makandokando yote.Sawa nipo tayari unipeleke kanisani nikaombewe niokoke
Akhsante sana
Pole Sana Mkuu kwa yaliyokupata.Ni kwa neema tuView attachment 1854919
AminaPole Sana Mkuu kwa yaliyokupata.
Mungu akupe uponyaji wa haraka
Amina mpendwaHakika ni kwa neema tu.
Sifa, shukurani na utukufu apewe Mungu.
Get well soon Mkuu.
Wakati nakujibu nilicheka ' jioni we unaniambia habari za asubuhi? HahahaVizuri sana kama ni salama
Nimeamka fresh/poa kabisa mkuu
NAKUPENDA
Aisee ni kupambana tu hamna jinsi .sasa wakiume itakuwaje!?

Ubize tu mchumba!..hope ur doing fine!Mchumba wangu Jack Palladino sijakuona kitambo humu.
Nimekumiss babe
Sent using Jamii Forums mobile app