Selfika na JF: Snap it. Show it

AMINA

Akhsante sana mpendwa wangu kwa faraja yako

Ki ukweli vidonda vinauma sana ila hamna namna navumilia kiume

Barikiwa mno Saint Anne
 
AMINA

Akhsante sana mpendwa wangu kwa faraja yako

Ki ukweli vidonda vinauma sana ila hamna namna navumilia kiume

Barikiwa mno Saint Anne
Jikaze wewe mtoto wa kiume.

Vidonda huwa vinauma sana,,hii wiki lazima vikuume,tena sana tu maana vinavunda then vinaanza kupona..lakini mimi naona umeshapona.

Una heri unaweza hata kuchat,mimi macho yote yaliziba,2weeks sioni kabisa na nilikuwa sili,mdomo uliziba..
Usoni nilikuwa siangaliki mara 2.
Miezi mitatu sikutembea.
Lakini leo nipo hivi,you see,naselfika hapa ukiniona huwezi dhani kama nilipitia hayo.

Utakuwa poa tu baada ya kupata Moto wa kutosha hizi wiki.
 
Duuuuuh hadi nimeogopa mweeeh
 
NI KWA NEEMA TU MPENDWA
 
Duuuuuh hadi nimeogopa mweeeh
Siku ya kusafisha vidonda nililia kilio kikuu utadhani nimeangikwa msalabani kama Yesu.
Niliapa nitakuja kusaidia wale wote watakaopata maswahibu kama yaliyonikuta.

Ni miaka imepita sasa,

Ila vidonda vinauma aiseeee,tena vya ajali
maana havina mpangilio ,vinahakikisha haulali usingizi kabisa
..kuna muda vinapambana kuuma ili mradi tu ulie

Mimi namuelewa sana,
Kuna muda vitamuuma hadi anaweza pata wasiwasi,lakini atapona hataamini, mwenyewe atashangaa.
 
Habarini za asubuhi wapendwa

Akhsanteni sana kwa pole na maombi yenu wapendwa

Nashukuru MUNGU naendelea vizuri
View attachment 1848213
πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊElly pole baba.mamaaaa..unaendeleaje kwa sasa ndugu yangu πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Mgonjwa hebu tupia namba yako tuweke muamala wapole ukakae kiti kirefu wiki ending hii

Hizi pole za maneno matupu zipo tu
Haha mtu chake bhana

Hata hizi pole za maneno matupu nazipokea kwa mikono miwili na zina fariji na kutia tumaini la kupona na kurudi kwenye hali yangu kama zamani mkuu wangu

Akhsante sana mkuu
 
πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊElly pole baba.mamaaaa..unaendeleaje kwa sasa ndugu yangu πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
Haha mtu chake bhana

Hata hizi pole za maneno matupu nazipokea kwa mikono miwili na zina fariji na kutia tumaini la kupona na kurudi kwenye hali yangu kama zamani mkuu wangu

Akhsante sana mkuu
Acha maneno weka namba

Ila ngoja niungane na wadau kutoa pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…