Selfika na JF: Snap it. Show it

Nmekaa makete hapo kama miezi sita, nakumbuka tulipika nyama tukawa tumeitumia imebaki, tulipata safari kutoka kidogo na kurudi ndani ya siku tano tuliikuta haijachacha wala kuharibika tukaichemsha tukapika ugali na maisha yakaendelea. Mboga ikawa kama tuliiacha mchana tukaitumia jioni, n baridi hapo sijapata kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…