Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,193
- 829,146
- Thread starter
- #101,401
Tayari umeshawafunga.. Kilinge kimeridhiaRefa kapuliza kipenga ni penati.
Wakuu kesho nitapiga penati moja muhimu sana katika maisha yangu.
Ni penati ngumu sana, maana itakuwa inazuiwa na makipa wasiopungua 6.
Maombi yenu wakuu niwafunge hawa makipa.


umri umeshasonga



