Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 4, 2019 #10,101 Hannah said: nimechekaaa. Aliona ukondoo wa nje. Aliona kuacha kujiita dark angel ndio nimeokoka. Click to expand... aah kabisa kwamba sasa umekuwa archangel of light
Hannah said: nimechekaaa. Aliona ukondoo wa nje. Aliona kuacha kujiita dark angel ndio nimeokoka. Click to expand... aah kabisa kwamba sasa umekuwa archangel of light
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,155 Oct 4, 2019 #10,102 Mzigua90 said: Hana mambo mengi bwana anko wangu. We labda tu uwe humtaki Click to expand...
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,155 Oct 4, 2019 #10,103 Ewaaaaa afadhali mwenye Mali umejitokeza Hannah said: General Mangi ni wakwangu jamani. Click to expand...
Ewaaaaa afadhali mwenye Mali umejitokeza Hannah said: General Mangi ni wakwangu jamani. Click to expand...
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Oct 4, 2019 #10,104 Shunie said: We dada ebu acha wizi wako Click to expand... Hahahahaaa. Nimekumiss sana ndugu yangu. Twende tukale mishkaki baadae basi. Nakuja mitaa hiyo jioni
Shunie said: We dada ebu acha wizi wako Click to expand... Hahahahaaa. Nimekumiss sana ndugu yangu. Twende tukale mishkaki baadae basi. Nakuja mitaa hiyo jioni
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Oct 4, 2019 #10,105 Saint anne said: Umeamua Sasa kurudi jinsi ulivyokuwa Yaani ujue unajua kumtia mtu hasira Hadi anaweza kujibamiza chini Click to expand... . Hapo anajiandaa kunichomolea betri mimi.
Saint anne said: Umeamua Sasa kurudi jinsi ulivyokuwa Yaani ujue unajua kumtia mtu hasira Hadi anaweza kujibamiza chini Click to expand... . Hapo anajiandaa kunichomolea betri mimi.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Oct 4, 2019 #10,106 Mshana Jr said: umekariri shee sikivai kila siku mbona? Click to expand... Bado nasubiri muamala.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Oct 4, 2019 #10,107 Nimekumbuka halafu. . Ulijua sana kumvuruga anko wangu wewe. Hannah said: General Mangi ni wakwangu jamani. Click to expand...
Nimekumbuka halafu. . Ulijua sana kumvuruga anko wangu wewe. Hannah said: General Mangi ni wakwangu jamani. Click to expand...
Pengobovu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 482 Reaction score 546 Oct 4, 2019 #10,108 Kumbe hua unafika Mitaa yetu Mbezi ya chini...... siku ukipita Juliana nshtue tena Dada Mzigua90 said: Mi nilikunywa mara moja tu Juliana nikaona jau. Heineken ndo mpango Click to expand...
Kumbe hua unafika Mitaa yetu Mbezi ya chini...... siku ukipita Juliana nshtue tena Dada Mzigua90 said: Mi nilikunywa mara moja tu Juliana nikaona jau. Heineken ndo mpango Click to expand...
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Oct 4, 2019 #10,109 Karma said: vita ni vita mura no retreat no surrender Click to expand... Nikilala nikiamka vita inasonga mbele.
Karma said: vita ni vita mura no retreat no surrender Click to expand... Nikilala nikiamka vita inasonga mbele.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,986 Reaction score 831,554 Oct 4, 2019 Thread starter #10,110 Hannah said: Nilikuuliza sijashinda bado? Nikikaa kwenye huu uzi nakumbuka tuu hiko na siwezi kujizuia kwa kweli. Na sijui nitasahau lini. Click to expand... Umeshinda best ila umepata mpinzani.. Nimeshindwa kabisa kumuaibisha shetani
Hannah said: Nilikuuliza sijashinda bado? Nikikaa kwenye huu uzi nakumbuka tuu hiko na siwezi kujizuia kwa kweli. Na sijui nitasahau lini. Click to expand... Umeshinda best ila umepata mpinzani.. Nimeshindwa kabisa kumuaibisha shetani
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Oct 4, 2019 #10,111 Nimeshakutumia mbona?? Check vizuri. Mshana Jr said: halafu mbona hujanitumia zile tarakimu? Click to expand...
Nimeshakutumia mbona?? Check vizuri. Mshana Jr said: halafu mbona hujanitumia zile tarakimu? Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,039 Oct 4, 2019 #10,112 Jimmie Gatsby said: nimekumiss sanaaaa.... nimerudi uraiani rasmi maana ni kama nilikuwa kifungoni vile Click to expand... Bora umerudi jamani nilikumiss sana
Jimmie Gatsby said: nimekumiss sanaaaa.... nimerudi uraiani rasmi maana ni kama nilikuwa kifungoni vile Click to expand... Bora umerudi jamani nilikumiss sana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,039 Oct 4, 2019 #10,113 Zesh said: Click to expand... Hahhaha toto toto
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Oct 4, 2019 #10,114 Hannah said: Hata mimi kibonge haujaona? Click to expand... Huwezi nifikia ubonge. Excuse my camera inatoa picha kama natumia Itel
Hannah said: Hata mimi kibonge haujaona? Click to expand... Huwezi nifikia ubonge. Excuse my camera inatoa picha kama natumia Itel
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Oct 4, 2019 #10,115 Hannah said: Naanzaje kusahau kirahisi na wakati mwezi mzima huku alikuwa anatusema sisi ni wabovu. Kwa picha ya demu wake hiyo daahsiwezi kusahau kwakweli.View attachment 1223242View attachment 1223244 Click to expand... Ninachokupendea haupindishi maneno, nyeupe ni nyeupe tu, no kissing anybody's a$$$.
Hannah said: Naanzaje kusahau kirahisi na wakati mwezi mzima huku alikuwa anatusema sisi ni wabovu. Kwa picha ya demu wake hiyo daahsiwezi kusahau kwakweli.View attachment 1223242View attachment 1223244 Click to expand... Ninachokupendea haupindishi maneno, nyeupe ni nyeupe tu, no kissing anybody's a$$$.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,986 Reaction score 831,554 Oct 4, 2019 Thread starter #10,116 Come27 said: Hakuna haja ya kuficha uso camera uliyotumia ya simu ina uwezo wa kugundua wewe ni nani? Click to expand... Hata mageti tunayoweka nyumbani na makufuli makubwa si kuzuia kuibiwa bali kuongeza ugumu wa kuibiwa
Come27 said: Hakuna haja ya kuficha uso camera uliyotumia ya simu ina uwezo wa kugundua wewe ni nani? Click to expand... Hata mageti tunayoweka nyumbani na makufuli makubwa si kuzuia kuibiwa bali kuongeza ugumu wa kuibiwa
Jimmie Gatsby JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 3,588 Reaction score 7,287 Oct 4, 2019 #10,117 Shunie said: Bora umerudi jamani nilikumiss sana Click to expand... nazunguka juu chin juu chin kwenye huu uzi kumtafuta insta babe akiwa kwenye maeneo yake simuoniii tuuu au nichukue zile za insta nizilete huku
Shunie said: Bora umerudi jamani nilikumiss sana Click to expand... nazunguka juu chin juu chin kwenye huu uzi kumtafuta insta babe akiwa kwenye maeneo yake simuoniii tuuu au nichukue zile za insta nizilete huku
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Oct 4, 2019 #10,118 Cheupe wee. Ni macho yangu au umeanza kunenepa? Shunie said: Mdogo wake shunie anakusalimiaView attachment 1223254 Click to expand...
Cheupe wee. Ni macho yangu au umeanza kunenepa? Shunie said: Mdogo wake shunie anakusalimiaView attachment 1223254 Click to expand...
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Oct 4, 2019 #10,119 Mzigua90 said: Na umekua mpole kweli eti Click to expand... Mimi ni kama Dada Mwajuma wa mbagala. Uzi usipokuwa na msha msha huwa naiona jf chungu. Ila ikipatikana amsha amsha nipo radhi nisile. Napenda viugomvi ugomvi . Ndio mana nimekuwa mpole.
Mzigua90 said: Na umekua mpole kweli eti Click to expand... Mimi ni kama Dada Mwajuma wa mbagala. Uzi usipokuwa na msha msha huwa naiona jf chungu. Ila ikipatikana amsha amsha nipo radhi nisile. Napenda viugomvi ugomvi . Ndio mana nimekuwa mpole.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Oct 4, 2019 #10,120 Naweza kuja baadae kula mandi. Naendelea kuwaza hapa nikale mandi au biriani. Pengobovu said: Kumbe hua unafika Mitaa yetu Mbezi ya chini...... siku ukipita Juliana nshtue tena Dada Click to expand...
Naweza kuja baadae kula mandi. Naendelea kuwaza hapa nikale mandi au biriani. Pengobovu said: Kumbe hua unafika Mitaa yetu Mbezi ya chini...... siku ukipita Juliana nshtue tena Dada Click to expand...