Kwa nini unapoteza muda kwenye suala ambalo mwisho wa siku unaingiza shilingi sifuri?
Nipe maswali nikujibu honestly tumalize kesi mapema ili uokoe muda wa kumake mapene.
Kukumegea siri tu, nobody knows me humu JF zaidi yangu, so kindly consider my offer.
Dah! Halafu haipendezi kujila mwisho siku unakuja na findings za kitoto eti nina ID kadhaa. So what?