Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,376
Haya ni mambo ya kushangaza kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili zako huwa unazijua wee mwenyewe.
Kiboko kama wa tingatingaMambo ya arumeru hayo wiki hiiiView attachment 1792756
.Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
Mimi sifanani nao kabisaHaya ni mambo ya kushangaza kidogo.
Huko Daslam wanaume wanakula chips kama chakula,tena ukute ni dinner!na wanalala tu vizuri?
I hope mchumba wangu Jack Palladino hayupo kwenye hilo kundi[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali.Mimi sifanani nao kabisa
Wow 1 yr[emoji7][emoji8]Afadhali.
Wiki ijayo itakuwa anniversary yetu...
Mwaka mmoja wa uchumba.
Jiandae kupokea na ile zawadi ya tar 8..nakuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lov u babe[emoji8]
Bora hzo zmekatwa kuliko zile zaView attachment 1793216
Najiuliza hii sheria ya kukata hivi ndala ili tusitoroke nazo ilipitishwa na Bunge hili hili au lingine??[emoji56][emoji28]
Tena hiyo ndiyo balaa, imagine unavaa hivyo alafu unatakiwa utoke ufike duka la jirani kwa ajili ya kununua mahitaji madogo ๐ ๐ ๐Bora hzo zmekatwa kuliko zile za
Moja nyekundu nyingine njano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo wezi mno acha iwe hivyo๐View attachment 1793216
Najiuliza hii sheria ya kukata hivi ndala ili tusitoroke nazo ilipitishwa na Bunge hili hili au lingine??๐๐
Jamani mbona kutiana aibu hivyo, imagine hapo unatakiwa utoke hatua mbili kufata maji dukani na umevaa hivyo๐๐Wabongo wezi mno acha iwe hivyo๐
[emoji854][emoji123]
Mm ndo maana hua najibebeaTena hiyo ndiyo balaa, imagine unavaa hivyo alafu unatakiwa utoke ufike duka la jirani kwa ajili ya kununua mahitaji madogo [emoji28][emoji28][emoji28]