Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Manini!?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Lugha ni sauti za nasibu...na maneno hayana uhusiano wa moja kwa moja na kitajwa au kirejelewa. Ndiyo maana neno moja linaweza kuwa na maana nyingine katika lugha nyingine. Lugha ni mali ya wanajamii nao wanaweza kuamua lo lote walitakalo.
NB: Juisi hii tamu inapatikana kule Mexico.
View attachment 1792704
Amen mchumba
Hatimaye leo nimefanikiwa kuona sura yako kwenye hiyo chupa ya juice.Lugha ni sauti za nasibu...na maneno hayana uhusiano wa moja kwa moja na kitajwa au kirejelewa. Ndiyo maana neno moja linaweza kuwa na maana nyingine katika lugha nyingine. Lugha ni mali ya wanajamii nao wanaweza kuamua lo lote walitakalo.
NB: Juisi hii tamu inapatikana kule Mexico.
View attachment 1792704
Ndio bossMa ostaadh wa kike ndo wanaitwa ostaadhat?
Mmhh !!!Hatimaye leo nimefanikiwa kuona sura yako kwenye hiyo chupa ya juice.
Thubutuuuuuh nakuja,Kuna umeme usije mjukuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili zako huwa unazijua wee mwenyewe.Natamani niishi Daslam niwaone wanaume wa Dar wanafananaje aisee..
Yaani wanakula chipsi [emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23]Natamani niishi Daslam niwaone wanaume wa Dar wanafananaje aisee..
Yaani wanakula chipsi [emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mdhamin wetu Yuko njemaTupate matangazo kutoka kwa wadhamini View attachment 1792618
Mommy me mate yanachuruzika, [emoji39][emoji39][emoji39]
Babuuh iv gari yangu bado tyuuh, haijaja nchini?
Huyu mbna km mbalapi?Mambo ya arumeru hayo wiki hiiiView attachment 1792756
Lingongeka hili, naogopa haya mweeehcocastic leo hakuna ya kusadifu wala yaliyomo yamoView attachment 1792625
Huyu mbna km mbalapi?
Utafiti wangu uko murua yaan mukideeh.utafiti gani wewe acha kunitisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28]
Tobaaaaaaah!! LolKiboko.huyo..alivamia maeneo ya maji ya chai