Selfika na JF: Snap it. Show it

Unamwambia tuu ikiwezekana unampiga neno...

Sema humu ndani (JF) member wapo wengi sanaa nawafahamu id zao
Kumbe hadi humu wapo!
Mimi simjui hata mmoja aisee.


Labda upate mtu mwelewa,,vinginevyo ataanza kukuona mshamba..alikupata ukiwa hivi,wewe umeenda huko umerudi na nguo zako za marinda..
Alikukuta na nywele umesuka vzr, baadaye eti unabadilika umenyoa unachana na brush.
Najaribu tu kuwaza...
Changamoto ni nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta aliyetoka kama Me
 
Kwa kweli usije ukajaribu, mpendane hukohuko faraghani au akupende ukiwa faraghani. Sio unakutana na mtu huko, afu from nowhere unaanza mambo ya faraghani, ndugu ndoa utaiona chungu.
 
yote heri tuu ila uludi ndani... Nikija mbeya na nakufata😂🤣
 
Kwa kweli usije ukajaribu, mpendane hukohuko faraghani au akupende ukiwa faraghani. Sio unakutana na mtu huko, afu from nowhere unaanza mambo ya faraghani, ndugu ndoa utaiona chungu.
Ndiyo
Mimi hayo yote nilishayapima.

Mgiriki anaongea simple tu,hajawaza kuhusu matokeo yake itakuwaje


Ni aidha upate faraghani,akikupenda ukiwa faraghani hii haitakiwi,labda km ataingia faraghani na hata akiingia bahati ya kukuoa inaweza isimuangukie
.
Ama mtoke wote huku nje muingie faraghani mkiwa mmeshaoana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…