Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hata mambo mazuri nimeyasema.
Pale juu nimesema uwata ni moja Kati ya fellowships zenye nguvu sana.
Hakuna ubabaishaji,kule watu wanaomba Jamani na Mungu anajifunua kwa viwango vya ajabu.
Yaani true cheistians wengi utawakuta kule...hakuna kufake kabisa kama baadhi fellowships nyingine.
Mungu aliyepo kule ni wa uhakika na anatafutwa kwa uhakika,
Na hata ukijidai ujifiche ufanye maovu,watakuengua tu maana watu wanaona kule.
Pia Kuna utaratibu wa kuona juu ya Safari unayosafiri.
Mungu akisema no basi usisafiri
Pia kuna ile maombi pale mtu anapopumzika(kufa)
Wanaangalia kama amepumzika pazuri ama amepotea.
Mambo mazuri nimengi Sana, siwezi yataja yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wao wanasema unaweza kwenda tu hivyohivyo japo itapendeza zaidi kama ukivaa marinda na ukafunga japo kilemba.Hivi mtu akitaka kuhudhuria faraghani (mfano mimi ambaye si muumini wa huko); nikija lazima nivae skirt ya marinda na kunyoa au kilemba?
Eeh unachagua kwenye unafuu.. Unaolewa nje unaolewa na namba sasa sijui utafanyaje😂😂😂🤣
Upendo wa mule ndani hutotamani utoke aseeee🤣Wao wanasema unaweza kwenda tu hivyohivyo japo itapendeza zaidi kama ukivaa marinda na ukafunga japo kilemba.
Ukifika huko watakushawishi tu hadi utabadilika,
Influence ni kubwa mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama unakaribishwa sanaa tuu..Hivi mtu akitaka kuhudhuria faraghani (mfano mimi ambaye si muumini wa huko); nikija lazima nivae skirt ya marinda na kunyoa au kilemba?
🤣🤣🤣unaingia faragaha ipi weweMimi hata Sasa nipo huko
Ila tu neenda kwa kubeep yaani..sasahivi nimenyoa nataka nianze tena kwenda.
Ila sijatubu bado.
Sent using Jamii Forums mobile app
Appearance yake yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hehehe huyo mvaa vimodo ndiyo itakuwa shughuli kwake haswaa
Wao wanasema unaweza kwenda tu hivyohivyo japo itapendeza zaidi kama ukivaa marinda na ukafunga japo kilemba.
Ukifika huko watakushawishi tu hadi utabadilika,
Influence ni kubwa mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo skuli Harrison Uwata girls.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaingia faragaha ipi wewe
Kuna true love kuleUpendo wa mule ndani hutotamani utoke aseeee[emoji1787]
Mama unakaribishwa sanaa tuu..
Me nikiludi mbeya takufata twende wote ukatutembelee
Nimejenga sanaa hapo 2010
Changamoto zake ni nyingi pia..labda huyo mtu naye aingie uwata,.lakini ukienda mwenyewe anaanza kukuona kichaa.Eeh unachagua kwenye unafuu.. Unaolewa nje unaolewa na namba sasa sijui utafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Tafuta ya heshima tuu... Sio marinda ukiendeleea kwenda mwenyewe utabadilika trust me...Hahaha ahsanteni sana. Naanza kutafuta sketi sasa
Kuna influence kule wewe,ukikaa nao hata mwezi tu unajikuta misimamo yako yote inalainika..taratibu unaelewa.Mimi ni shindikanika, kubadilika hapana. Ngoja nianze kuvizia sketi za marinda
Unamwambia tuu ikiwezekana unampiga neno...Changamoto zake ni nyingi pia..labda huyo mtu naye aingie uwata,.lakini ukienda mwenyewe anaanza kukuona kichaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta ya heshima tuu... Sio marinda ukiendeleea kwenda mwenyewe utabadilika trust me...
Kuna influence kule wewe,ukikaa nao hata mwezi tu unajikuta misimamo yako yote inalainika..taratibu unaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwanza ukienda kule,ukasema shida ni sketi,mbona utapata za kutosha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha ahsanteni sana. Naanza kutafuta sketi sasa
Oh kumbe!Nimejenga sanaa hapo 2010
Yaani kwanza ukienda kule,ukasema shida ni sketi,mbona utapata za kutosha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pale changamoto iwe ni wewe tu mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app