Selfika na JF: Snap it. Show it

Utulie tu urudi mapema, hatuijui siku wala saa.
Mwenza Rafiki kule kwa kujikana hasa hakuna Utubu dhambi na ukaludie tenaa ni mwiko.. Ndo maana sisi vijana panatushindaa maana Mungu hadanganywi aseee nikitulia nikiona now nimeamua kuwa wa Mungu 100%
Taludi nijiandalie Safari ya Mbinguni
 
Hehehe huyo mvaa vimodo ndiyo itakuwa shughuli kwake haswaa
 
ukiwa mvivu kwenda faraghani na kuomba patakushinda tyu
Unakuwa umejitoa


Mimi kuomba siyo mvivu..hata wakisema tusali siku nzima ninaweza.
Kwenda faraghani ratiba imebana Sana,ila ratiba ikiwa free siyo shida kabisa.

Zile amri za Mungu kuzifuata haina shida kabisa,nakomaa kibishi .
Ila tu Mambo ya kuchaguliana watu hapana kwa kweli, na ni lazima atokee hukohuko faraghani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenza Rafiki kuna mambo mengi Uwata mazuri Saint Anne hajasema kaenda moja kwa moja shida ilipo... Muulize kama ukifata maagizo yote kama kutakuwa na jambo Gumu..

Kwanza Uwata sio kanisa ni jumuiya... Kila mtu ana dhehebu lake mfani me kanisa langu ni morovian usharika wa Luanda kule.. Pale uwata tunaenda kama fellowship kusoma biblia kuomba pamoja na kujifunza kumpendeza Mungu ndo lengo kubwa haya ya ndoa sijui sio lengo la Mtu lililompeleka Uwata..
 
Olewa nje ukimaliza ludi mjengoni simple tuu
 
Weeee hapo Luanda hatujawahi kuonana kweli?

Ooh kumbe ni kama jumuiya tu, kwa mfano sasa wewe m-moravian ukitaka kuoa si unaweza ukachagua tu yeyote au hadi na yeye awe wa faraghani? Na ndoa mnafungia wapi?
 
kwa nni lakini Anne? Huyo anakuwa ndiyo chaguo lako kutoka kwa Bwana
Ni kweli kabisa,lakini

Yaani nikienda ujue naenda kubet,
Naweza bahatika kuchaguliwa niliyemuelewa..ila naogopa endapo ikatokea ikawa kinyume.

Mimi hilo tu ndilo lililonifukuza kule.
Halafu mm nataka mtu wa kawaida tu,tukiwa wote walokole wa kupindukia haki vichaa ndio vinamoanziaga


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weeee hapo Luanda hatujawahi kuonana kweli?

Ooh kumbe ni kama jumuiya tu, kwa mfano sasa wewe m-moravian ukitaka kuoa si unaweza ukachagua tu yeyote au hadi na yeye awe wa faraghani? Na ndoa mnafungia wapi?
Yaani ile jumuiya imejumlisha waumini sanasana wa Lutherani na moraviani.
Wewe unaweza kuoa /olewa na anayetoka dhehebu lolote katika hao ila sharti awe ni mwanauwata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahahahahahaha eti vichaa jamani. Si ndiyo raha sasa, wote wa rohoni
 
Hata mambo mazuri nimeyasema.

Pale juu nimesema uwata ni moja Kati ya fellowships zenye nguvu sana.
Hakuna ubabaishaji,kule watu wanaomba Jamani na Mungu anajifunua kwa viwango vya ajabu.
Yaani true christians wengi utawakuta kule...hakuna kufake kabisa kama baadhi fellowships nyingine.
Mungu aliyepo kule ni wa uhakika na anatafutwa kwa uhakika,
Na hata ukijidai ujifiche ufanye maovu,watakuengua tu maana watu wanaona kule.

Pia Kuna utaratibu wa kuona juu ya Safari unayosafiri.
Mungu akisema no basi usisafiri

Pia kuna ile maombi pale mtu anapopumzika(kufa)
Wanaangalia kama amepumzika pazuri ama amepotea.

Mambo mazuri nimengi Sana, siwezi yataja yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weeee hapo Luanda hatujawahi kuonana kweli?

Ooh kumbe ni kama jumuiya tu, kwa mfano sasa wewe m-moravian ukitaka kuoa si unaweza ukachagua tu yeyote au hadi na yeye awe wa faraghani? Na ndoa mnafungia wapi?
Aah itakuwa... Kanisa langu hilo kabla sijakimbia mbeya nakumbuka sunday school ilikuwa Luand six na Amani... Enzi hizo...

Ndoa zinafungwa kanisani tena vibe kama lote...
Uwata hawafungishi ndoa wala kubatiza au kufanya ibada ya maziko maana sio kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…