Nitakuja unifundishe nijifunze zaidi lakini kwa uzoefu wangu jinsi nilivyopika pilau mara nyingi, nadhani ni aina ya mchele niliopikia..
Kwa huo mchele hata angepika nani bado ungetoka hivyohivyo.