Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Nguvu ziliniishia mithili ya mfa maji[emoji23][emoji23][emoji23]
"Kumbuka nilikukuta kijijini sigimbi,umebaba gunia na furushi la magimbi"
Twende endelea
Pole..aya mama imetoshaNguvu ziliniishia mithili ya mfa maji
...kama kweli nakuhitaji
Kigori mwenye umbo kama mdori
Wala sikutaraji ungepiga nami stori
Nilifurahi kuweza kukufahamu
Na nikakuahidi subiri zangu salamu
Kwakuwa nilikwenda tu kumsalimia bibi
Yote yaliyljiri kumwelezea bibi
Watu walishangaa kusikia nimepata mchumba
Kwani vijana wengi wa mjini tuna kasumba
Wakaweka kikao niweze kutoa posa
....ingawa ningekutosa
Walinikabidhi kurudi nawe mjini
Na nikakusisitiza mjini kuwa makini
Alikuwa mzuri mithili ya malaika
Alipokuwa mjini ...alikiwa anashika
Hakika alionekana kuwa mgeni wa jiji
Nilipovua viatu nilivikuta ndani ya friji
Alifanya ....washkaji wakanicheka
Hakutaka kitanda alilala kwenye mkeka
Alipokuwa akiona magari alikimbia
Akiona mtu kwenye tv anamwamkia
Kila alichofanya alikuwa anakosea
Nilimvumilia kwa kuwa hajazoea
Hakai kwenye sofa alikuwa anakaa chini
Mafuta ya kupikia eti anapaka mwilini
Namnunulia soda hataki eti anataka togwa
Nikimletea keki hataki anataka boga
Majirani walimpenda sababu ya uzuri wake
Nasikitika mashangingi wakawa rafiki zake
Akaanza kunywa pombe alipokwenda kusuka
Usiku anatoroka tena kwa kuruka ukuta
Nilipokuwa natoka naye nyuma anatoka
Nikimtuma kitu anadai eti anachoka
Nikienda kazini ndani analeta mabwana
Magari ya kifahari yakawa yanapishana
Hakika starehe za dunia zikamteka hatimaye hata nyumbani pia akatoweka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee huu wimbo ndo naujua kuliko zote..
Nimechoka kutypee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikusaidiaje?
Prof$Ferooz[emoji91]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kijana vipi mbona hujagonga mlango?Pole..aya mama imetosha
Bora baridi kuliko joto.Hivi sasa tushaianza safari ya baridi.
Hii baridi kuisha ni hadi August.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
No! Huwa napenda hali ya ubaridi kuliko joto japo huku nilipo ni wastani.
Hivi kina Mbosso,Diamond,Baddest47 kijana wa Mwanjelwa huwa unawasikiliza pia?Kijana vipi mbona hujagonga mlango?
Jipange kwenye foleni mmojammoja ndiyo mpango
Ondoa shaka tiba bora haitaki haraka
Subiri watibiwe wengine na wewe utafwata[emoji23]
[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhanaNdiyo
Sema walikuwa wanaimba mziki mzuri[emoji847]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu wee lol,Siku hizi nimegeuka mpost meme huko watsap.
Kwahiyo nilimchekesha sana hiyo siku aisee hadi akawa anashangaa
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ahsante sana cc, nimefurahi mno tena sana, kuna mtu alikua anapenda kuniimbia huu wimbo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nguvu ziliniishia mithili ya mfa maji
...kama kweli nakuhitaji
Kigori mwenye umbo kama mdori
Wala sikutaraji ungepiga nami stori
Nilifurahi kuweza kukufahamu
Na nikakuahidi subiri zangu salamu
Kwakuwa nilikwenda tu kumsalimia bibi
Yote yaliyljiri kumwelezea bibi
Watu walishangaa kusikia nimepata mchumba
Kwani vijana wengi wa mjini tuna kasumba
Wakaweka kikao niweze kutoa posa
....ingawa ningekutosa
Walinikabidhi kurudi nawe mjini
Na nikakusisitiza mjini kuwa makini
Alikuwa mzuri mithili ya malaika
Alipokuwa mjini ...alikiwa anashika
Hakika alionekana kuwa mgeni wa jiji
Nilipovua viatu nilivikuta ndani ya friji
Alifanya ....washkaji wakanicheka
Hakutaka kitanda alilala kwenye mkeka
Alipokuwa akiona magari alikimbia
Akiona mtu kwenye tv anamwamkia
Kila alichofanya alikuwa anakosea
Nilimvumilia kwa kuwa hajazoea
Hakai kwenye sofa alikuwa anakaa chini
Mafuta ya kupikia eti anapaka mwilini
Namnunulia soda hataki eti anataka togwa
Nikimletea keki hataki anataka boga
Majirani walimpenda sababu ya uzuri wake
Nasikitika mashangingi wakawa rafiki zake
Akaanza kunywa pombe alipokwenda kusuka
Usiku anatoroka tena kwa kuruka ukuta
Nilipokuwa natoka naye nyuma anatoka
Nikimtuma kitu anadai eti anachoka
Nikienda kazini ndani analeta mabwana
Magari ya kifahari yakawa yanapishana
Hakika starehe za dunia zikamteka hatimaye hata nyumbani pia akatoweka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee huu wimbo ndo naujua kuliko zote..
Nimechoka kutypee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikusaidiaje?
Prof$Ferooz[emoji91]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hao wa juzi.Hivi kina Mbosso,Diamond,Baddest47 kijana wa Mwanjelwa huwa unawasikiliza pia?
Enzi hizo nilikuwa nauimba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ahsante sana cc, nimefurahi mno tena sana, kuna mtu alikua anapenda kuniimbia huu wimbo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oh sawaNo! Huwa napenda hali ya ubaridi kuliko joto japo huku nilipo ni wastani.
Huko kwenu napapenda sbb ya ukijani.
kwa nini [emoji2][emoji2]Vidole vinasadifu yaliyomo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie, mwatia huruma kweli, huyu mdudu mtamu! 🤣Yaan nimeona tyuuh kichefu chefu. Khaaaah
Mrembo huyo! 🤣Duuuh ndo anatishaa hivo mweeeeh
Haha, naaminiaHuku kuna kiwanda cha kuzalisha baridi🤣
Wacha wee, [emoji23][emoji23][emoji23]Enzi hizo nilikuwa nauimba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Khaaaaaah hapna kwakweli.Mrembo huyo! [emoji1787]