Kumbe nilikuwa najifaragua tu. Ng'ombe wangu wala hawataenda mnadani Pugu. Na siksi paki ukitaka niko tayari kuachana na hiki kitambi cha kishikaji. Nitatafuta njia mbadala za kufutia tekno yangu. Yu a gojazi wallahi
JF hii imebarikiwa sana aisee. Naamini kuanzia sasa nyuzi za kuponda mabinti wa JF kuwa ni wabaya hawana shape zitakuwa zimekufa rasmi. Ashukuriwe mlozi Mshana Jr kuanzisha uzi huu. Hata wanaotafuta wenza washindwe wenyewe tu. Na hapa unaweza kufuatilia mtu anavyoposti na kujibizana na watu ukapata fununu ya tabia zake na misimamo yake. Kwa neema ya Mungu uzi huu utazaa ndoa aisee