Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli wewe ile zawadi itakufaa, muda wote huo upo kwenye viunga vya kanisa[emoji119][emoji119], muda wa kuvunja mifupa ndiyo huu jirani, nitapita kukuchukua twende ukavunje mfupa wa bata kule mtaani [emoji39][emoji12][emoji1322][emoji1322]
Kuna zawadi imeongezeka tena?
Si tulikubaliana ni hardcopy ya Tenzi za Rohoni na nyimbo za Tumwimbie Bwana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]pole sana sana.. Unajua ukiamua kuwa bondia usiogope za uso... Na mara nyingi apandacho mtu ndicho avunacho....pambana na hali yako mwanawani[emoji2839][emoji2839][emoji2839][emoji1550][emoji1550][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiambiwa uchague side yako hapo
Chakorii yeye amesema money first
Saint Anne amechagua fedha pia
@my selection was education but currently nime appeal baada ya kuona uhalisia. Money is everything [emoji123][emoji12][emoji1322]
[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji123][emoji2536][emoji123][emoji2536][emoji123][emoji2536][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti pamoja sana..

Thank you kwa kuwa pamoja na mimi 🤗

Yaani Sisy Una moyo wa kipekee.
😄😄Ehee pamoja sana..

Usijali mwamba..🧚‍♀️

Hebu nifungukie Chief kwenye huu moyo nipate kutembea kwa madoido leo
 
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…