financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Thank you Gerry, ndiyo nipo hivo mkuu ila kama unapenda niwe kibongee i will do it for you, ntajilazimisha kula hata milo 6 a day😃😉nilikua naku imagine kama boongeeeee.......kumbe imagination zilienda alijojo
hongera[emoji8]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
hapana for me dont do that......mabonge kwa kweli hawanibariki[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nawashangaa sana fans wa bonge nahs ni wagonjwaThank you Gerry, ndiyo nipo hivo mkuu ila kama unapenda niwe kibongee i will do it for you, ntajilazimisha kula hata milo 6 a day[emoji2][emoji6]
Sawa mkuu nimekuelewa, ila tunatofautiana hizo nyama nyama zina raha yake kwanza unakua msoft tofauti na sisi tumekomaa mifupa mitupu😀😀hapana for me dont do that......mabonge kwa kweli hawanibariki[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nawashangaa sana fans wa bonge nahs ni wagonjwa
mkuu wangu jinsi ulivyo ndivyo inavyotakiwa kua
sawa??
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nataka nimsaidie huyo dada kulipa kisasii...anipe namba tu za huyo rafiki yake nikauchakaze moyo wake vipande vipande[emoji23][emoji23][emoji23]Pole Sana
Usijenge matarajio makubwa kutoka kwa watu.
Tenda wema nenda zako.
Msamiati huo sijaambulia kitu
sio kweli.....sisi fans ndio tunaojuaSawa mkuu nimekuelewa, ila tunatofautiana hizo nyama nyama zina raha yake kwanza unakua msoft tofauti na sisi tumekomaa mifupa mitupu[emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nataka nimsaidie huyo dada kulipa kisasii...anipe namba tu za huyo rafiki yake nikauchakaze moyo wake vipande vipande[emoji23][emoji23][emoji23]
Amen[emoji120]Neno hili likafanyike baraka kwako sasa na hata milele ...Aamen!View attachment 1765273
Kuna watu wanafaidi
Aisee😀Kuna watu wanafaidi
That is my baby girlAfu unatumia left hand dear? [emoji8]
Ndio artists wanavokuwa. Wana vidole vizuri. PelelezaUna vidole vizuri
Nataka unichore..gharama zako zipo je?Ndio artists wanavokuwa. Wana vidole vizuri. Peleleza
qeen jojo wetu hawezi kuteseka na sisi tupo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wow she's beautiful, hongera kabinti kana kipaji cha uchoraji😍 mi napenda watu wanaotumia left hands 🤷♂️That is my baby girl
Kubaliana na wazo niingie kazini...[emoji23][emoji23][emoji5]