Hilo tango sasa unalidondoshea chumvi kidogo kisha unalikamulia ndimu,ukiweza unaongezea na karoti vipande vidogo vidogo na hoho,pilipili kali ya maji ile unaiweka kwa mbaali. Wacha kabisa hiyo
Hongera sanaa chief,unaitendea haki nafasi yako,muda na watoto ni sadaka hata kwenye majukumu yetu ya kila siku.
Tunaambiwa furaha(uwepo wako na muda wako kwao) ya familia ni baraka kwa shughuli/kazi zako.