Daah sasa imagine una washikaji zaidi ya kumi! Ina maana wote hao unatakiwa uwape utamu ili ushikaji uwe na nguvu!Hata sijui Karma,
Siwezi kumuita mtu malaya eti kwa vile kanipa utamu, hivi naanzaje[emoji23]. Halafu kugawa hovyo kama ulivyosema ni mindset zetu tu, hakuna kitu kama "kugawa hovyo", unless kwa wauzaji na wanunuzi.
Makiseo mwenyewe chura hana. Uteseke namna hiyo ni nini BehaviouristMkuu, Makiseo anautesa sana moyo wangu.Vipi kwa upande wako?[emoji101]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahaha Karma nae anapita kama robot
Washkaji kumi wote hao wa nini, hujui kuwa na washkaji wengi nao ni mtihani? Unakuwa na mshkaji mmoja the rest ni watu wa kupeana hi from time to time.Daah sasa imagine una washikaji zaidi ya kumi! Ina maana wote hao unatakiwa uwape utamu ili ushikaji uwe na nguvu!
Ujue mimi nimesema hivyo kutokana na mitazamo ya wanaume wengi hata humu mitandaoni wapo wanaosema hivyo! Wanakwambia hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke halafu hapo hapo mwanamke anayetoa tu utamu kwa mwanaume hata ambaye si mpenzi wake anaitwa malaya au kahaba na anashutumiwa na jamii kuwa hafai kuolewa!
Ah mimi likes zangu chukueni tu wala sina hiyana kwenye kugawa likes! Ila sijawafikia mkwepu na makiseo kwa kupita kimya jamani sasa bora hata makiseo ukimtag anajibu huyo mwingine ndiyo hata umtag kwa kilugha chao unajisumbua tu!
Nashukuru tu kwa vile hata sisi wa mikoani tunazipata kwa sana.[emoji39]
Kwani kikao kiliamuaje? Tutoe likes au tuache kwa sasa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema mimi sijakufikia wewe jamani bora hata mimi natia neno kidogo
Ila nimekumiss dear. Uwe hata unatusalimia basi usitufanyie hivyo wenzio.
KhaaaaaMimi kila mwanamke mwenye umri kwanzia miaka 18 hadi 60 huwa wanautesa moyo wangu..haijalishi awe mrefu au mfupi,black au white,kimodo au bongee [emoji41][emoji41][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashukuru tu kwa vile hata sisi wa mikoani tunazipata kwa sana.[emoji39]
Sasa huyo mshikaji mmoja si bora awe mpenzi tu ijulikane moja! Hivi unajua kuwa kwa mwanamke mapenzi na ngono vinaenda sambamba, tofauti na kwa mwanaume anaweza fanya na yeyote tu hata asiyempenda maana kwenu mapenzi na ngono ni vitu viwili tofauti, ila kwa mwanamke hivyo vitu hauwezi kuvitofautisha na ukiona mwanamke anavitofautisha ndiyo hao wanaitwa malaya au kahaba!Washkaji kumi wote hao wa nini, hujui kuwa na washkaji wengi nao ni mtihani? Unakuwa na mshkaji mmoja the rest ni watu wa kupeana hi from time to time.
Mshkaji = mpenzi✓Sasa huyo mshikaji mmoja si bora awe mpenzi tu ijulikane moja! Hivi unajua kuwa kwa mwanamke mapenzi na ngono vinaenda sambamba, tofauti na kwa mwanaume anaweza fanya na yeyote tu hata asiyempenda maana kwenu mapenzi na ngono ni vitu viwili tofauti, ila kwa mwanamke hivyo vitu hauwezi kuvitofautisha na ukiona mwanamke anavitofautisha ndiyo hao wanaitwa malaya au kahaba!
Halafu kuna binadamu anayeweza kuwa na rafiki mmoja tu wa jinsia tofauti maisha yake yote? Maana hao washikaji zaidi ya kumi sijamaanisha uwe nao wote kwa mpigo ila in your lifetime!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kikao kiliamuaje? Tutoe likes au tuache kwa sasa?
Nimekumiss pia jamani..[emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwepu ni noma[emoji1787]Ah mimi likes zangu chukueni tu wala sina hiyana kwenye kugawa likes! Ila sijawafikia mkwepu na makiseo kwa kupita kimya jamani sasa bora hata makiseo ukimtag anajibu huyo mwingine ndiyo hata umtag kwa kilugha chao unajisumbua tu!
Sawa... Kazi iendelee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sasa tuendelee tu kutoa maana wanazihitaji sana hawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshkaji = mpenzi✓
Ila wewe tulishakubaliana tayari [emoji39] no mpenzi.
Naam, nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Makiseo nakukisia kuwa chura ipo japo nimesikia uliloongea.Makiseo mwenyewe chura hana. Uteseke namna hiyo ni nini Behaviourist
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huyo kazidi aisee! Mimi kupiga kelele kote huku naambiwa napita kama robot mwee nasingiziwa mimi!Mkwepu ni noma[emoji1787]
Sijui anavumiliaje kukaa kimya aisee[emoji119]