Haha'.. Wazee wa single single.!!
Singo yangu ni moja mkuu..!!Na wew upo singo singoo[emoji23][emoji23]
Singo yangu ni moja mkuu..!!
Ujue Leo sitoki humu bila picha zako[emoji38][emoji38]I had a very busy day
Hahhaa'Hahahaaaaa... usiniharibie we dada. Waeza kuta kunae mtu kanielewa sema anaogopa ujue.
Single but nah singo singo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi mipango yangu sijakuambia eeeh???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aise
The bright one sijamuona bado humu...yule naonaga mabalaa yake kwenye ule uzi wa walevi
Kweli mchawi siyo lazima apae na ungo usiku!!Hahahahh.. Marianah huwezi ukacha niamini mimi.
Hawawezi kuyeyuka hivi hivi tu.Nashangaa ng'ombe 70 wanayeyuka juu juu.huku nilishaanza kujifunza kisukuma[emoji1751]
[emoji23] nipo.
Mwenye ng'ombe amebadili msimamo[emoji1751][emoji1751]Hawawezi kuyeyuka hivi hivi tu.
Cha kufanya fanya kumwambia mzee wako andae zizi la kuwahifadhia hao ng'ombe kama huko kwenu hamna malisho basi tutampa eneo huku kwa muda[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli mchawi siyo lazima apae na ungo usiku!!
Yaani hata wewe ni wa kuniombea mimi nisiache utoto kweli??
Hahahahha.... Halafu huko ulipo hata ukikutana na mwenye nyama zake basi ujue ni silicon zimehusika.Nitarudi nyumbani[emoji1241] kwa baba na mama nimechoka kutazama flat screen.
Aisee acha basi kuzugaMimi nna figure gani Lizarazu?
Unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa eeh?