Hahaha wewe ambaye malaika aliyepewa kazi ya kuandika dhambi zako humpi hata muda wa kupumzika! Yaani ni kazi kazi tu bandika bandua!Mbona mimi nipo decent ila huko piemu kuna vumbii balaaa...hata njia ya kwenda huko nishasahau
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Natania bwana,,,Kwani miezi mitatu imeisha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah!
Yaani Kwamba?
Mimi akiweka nafungasha virago yuleee...PlutoAkija kuweka basi mimi sijui hata nitafanya nini humu[emoji848]
Natafuta Cha kufanya[emoji23]
Nitaogelea na kunywa bia
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Nyuzi 2
[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]Yaani mimi nilikuwa nataka niseme ila nikawa nakosa pa kuanzia[emoji23]
Bora umesema.
Aiseee[emoji1787][emoji119]
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Natania bwana,,,Kwani miezi mitatu imeisha?
Tena umenyooka mulemule kwenye mawazo yangu.[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
Haha silali Leo ntalala njiani[emoji3][emoji3]Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukalale Sasa
Mwee[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Duh hata sijaona
Wakati huo ntakuwa hoi chakari nimepiga vyombo (bia)Mimi akiweka nafungasha virago yuleee...Pluto
Kama kawaida au siyo[emoji1787]Haha silali Leo ntalala njiani[emoji3][emoji3]
Daah kwa kweli imenisikitisha sana! Another man down!Mazingira yanawabadilisha watu, situations zinawabadilisha pia. Kuna mambo mengi yanatubadilisha, ndio maana unaweza kusoma comments za mtu miaka mitano iliyopita, ukilinganisha na mwaka huu ukajiuliza imekuwaje tena mbona huyu hivi..
We jamaa litakukuta jambo Ohooo ngoja kipenzi changu kiachiwe huko kilipo utaimba ngonjeraNgoja nimuite Chakorii aone bi mdogo anavyonifanyia. Hadi chakula cha usiku nanyiwa kisa nimeleta kilo 1 ya Nyama kwa bimdogo alafu nyumba kubwa nimepeleka kilo 2 🙆😭
Basi hao itakuwa nyoka wa aina nyingine! Ila nyoka aina ya kifutu na koboko wote wakali wala hawasubiri uwachokoze!Labda kama nmechanganya, coz ilikuwa n mwaka jana mwezi wa 2 tukiwa tunavuna mahindi tulikuta na nyoka flan hv n wanene afu wafupi, pamoja na kupanda mgongini lakin hakuleta shida yoyote mpaka tunakuja kushtuka kuwa n nyoka tukawapiga na kuwaua wanaowajua vzur ndio wakaniambia hvyo "hao nyoka hawanaga shida". hv hao kifutu ndo wale wanatanuaga vchwa or...?
Mimi kwenye ishu ya kufungua picha tu ndiyo nakereka! Imagine hata picha uliyoweka mwenyewe tu eti nayo inagoma kufunguka hadi yapite masaa sijui mangapi huko!Mwee
Sema liapp siku hizi linaboa kichizi, natamani Hadi nilipasue[emoji51],halitoi notifications kwa wakati.
Yeah n swila, anatanua shingoBasi hao itakuwa nyoka wa aina nyingine! Ila nyoka aina ya kifutu na koboko wote wakali wala hawasubiri uwachokoze!
Mmhh kuna nyoka anayetanua kichwa kweli mbona sijawahi sikia? Au unamsemea swila (cobra) yule anayetanua shingo?
Karibu ila tu sibebi mtu! Ukishindwa kutembea sababu ya ulevi utajiburuza tu hamna namna! [emoji16][emoji16] [emoji2][emoji2]Wakati huo ntakuwa hoi chakari nimepiga vyombo (bia)
Tutaongozana kwa mguu hadi huko Pluto jamani[emoji1787]
Oohh sawa Mkuu nimekupataYeah n swila, anatanua shingo
NasingiziwaaHahaha wewe ambaye malaika aliyepewa kazi ya kuandika dhambi zako humpi hata muda wa kupumzika! Yaani ni kazi kazi tu bandika bandua!