Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikisema hapa nitaonekana wa ajabu Sana

Nina ulevi Kenya vitu vya ajabu hadi najishangaa.
Hakuna cha ajabu chini ya jua.
Ndio maana jina lako ni tofauti na mwingine,so everyone has her/his own unique.
We sema tu wala usihofu.
 
Mwenyewe nalipenda Dom to Dar juzi nimefanya booking nimekosa imejaa!!
Yaani mimi nipo radhi kulisubiri hata siku 2 ili mradi nipate seat.
Sijui hata waliniroga na nini Shabiby
,pamoja na kwamba hawagawi hata pipi ya hamsini ila mie nalipenda hivyohivyo.
Safari zangu za Mbeya-Dom nimelipanda sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…