Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Binamu ahsanteHahaaaa!!!poleee....!!!View attachment 1751114
Uko faster Sana kwenye picha dada mkubwaBinamu ahsante
Daah hako kamwili hutozeeka mapema teacher
Binamu miss you!!!!kamwili haka kiukweli sijisifu ila mpk naulizwa nafanya diet ipi wakati nakulaaa Mimi balaaa...sema chaki inanikondeshaa!na nikinenepa sasa!weeee balaaaUko faster Sana kwenye picha dada mkubwa
Binamu ahsante
Daah hako kamwili hutozeeka mapema teacher
Kuna kapicha fulani kaTBT kako ulivaa sketi ndefu na kama koti hivi..nimekamiss Sana aiseee.Hahaaa...acha kabisaaa yuko fastaaBinamu miss you!!!!kamwili haka kiukweli sijisifu ila mpk naulizwa nafanya diet ipi wakati nakulaaa Mimi balaaa...sema chaki inanikondeshaa!na nikinenepa sasa!weeee balaaa
Nanenepaga Mimi balaaa!!nafika mpk 76!!!sema hivi mwili wangu Mimi kukonda DKK zero tu yaaani nikiwa tu busy nimekonda na kunenepa mimi mgumu sana mpk niridhike haswaaa...na nakua bonge balaaa!!!hapo na 68!Kuna kapicha fulani kaTBT kako ulivaa sketi ndefu na kama koti hivi..nimekamiss Sana aiseee.
Kwakweli kamwili kako kazuri,unajitahidi kumaintain...ni wadada wachache Sana wanaweza.
AiseeeNanenepaga Mimi balaaa!!nafika mpk 76!!!sema hivi mwili wangu Mimi kukonda DKK zero tu yaaani nikiwa tu busy nimekonda na kunenepa mimi mgumu sana mpk niridhike haswaaa...na nakua bonge balaaa!!!hapo na 68!
Ile picha ni ya 2017 hivi!
Hahahaha, safi Sana, mambo vipiKazi iendelee
Hahahaha, mjukuu we nisalimie tu haina shida wala tatizo, kwema lknBabu naruhusiwa kukusalimia kwa niaba ya Chakorii?
Ah ah ah kalumbu na Wewe una tattoo
Safi kabisa! Huyo aliyekuficha siku mbili hizi muambie anatutafuta ubaya!Aise ndio Naona ujumbe wako loh...
Mambo aje karma..
natamani nijue nilimjibu nini baba yangu SYB isijekuwa keshanitwanga laana huku maana kichwa chenyewe kibovu hichi
Hahaha nilitegemea tu unipige jungu. Nafsi huwa inanileta tu fastaaaaaaUko faster Sana kwenye picha dada mkubwa
You are missed too binamu. Kwa kweli ntakulipa huo mwili. Target yangu before I celebrate my 40th birthday.Hahaaa...acha kabisaaa yuko fastaaBinamu miss you!!!!kamwili haka kiukweli sijisifu ila mpk naulizwa nafanya diet ipi wakati nakulaaa Mimi balaaa...sema chaki inanikondeshaa!na nikinenepa sasa!weeee balaaa
Hahaaaaa!!!ngoja ntakutumia dadaa!!Aiseee
Naona sasahivi kazi inaendelea mchakamchaka na wanafunzi
68 hapo naona imekaa poa,Hizo 76 mmh ni hatari!!
Sasa dada weka tena kale kapichakazuri kale.
Hahahaa!safi kabisa binamu punguza tu Mimi bwana last year hali ilikua tete nilinenepaa sijawahi ona yaani T3 zote zilikua juu!!kama puto!You are missed too binamu. Kwa kweli ntakulipa huo mwili. Target yangu before I celebrate my 40th birthday.
Ah ah ah kalumbu na Wewe una tattoo
Basi hata anza na viwango vyangu.Niombee Mkuu nifikie viwango vya Mshana Jr.