Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah wewe siyo mvumilivu aiser.
Haitakiwi uachane na mtu kizembe


Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Haman kaka ako mkwepu nampenda mpk kesho nampenda....

Na nilicho kiamua kwake ni kwasababu sikutka aje awe kama hyo jamaa....nimuumize alafu baadae anilaumu sikutaka ilo limtokee

Leo langu alikuwa kuachna nae ila kuwa karibu na mimi kama marafiki walio na future baadae lakn akuniamini
 
Dah


Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 

Ila Morogoro kubwa jamani daah

Yeah Mungu akijalia na yeye mwenyewe akiwiwa basi tutafahamiana! Haya mambo ya kusambaziana picha ndiyo yanatuponza wengine mi nimejipostia zangu status mtu anaiba anasambaza mwisho wa siku mi ndiyo naonekana mbaya sema nashukuru Mungu alinielewa tukayamaliza!
 

Dada sisi siyo mafeminist ila ni vile tu wanaume wa jf wakiishiwa hoja ndiyo wanatumia hilo neno kama defensive mechanism

Nakukubali sana dada yangu mzuri mzuri nkamu gwangu nawe ubarikiwe mpaka ushangae. Daah siku nikikuona sijui nitafurahije aise ila ndiyo najua siyo leo wala kesho wala mwaka huu.

Nilimaanisha hadi ufahamiane na mtu basi ni umempenda sanaaa au umemuamini sanaaa. Ndiyo maana mimi nikawa nawaza sijui nakuanzaje.

Au niendelee kumtazamia Bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…