[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa yaani mie mwenyewe nilivamia ugomvi tu ila eti ndiyo nikajikuta nina hasira kuliko waliotukanwa hadi kaka wa watu kanung'unika haki inabidi niache huu utani wa kijinga humu JF kuna watu huwa wanamaindi kweli aise yaani mimi nikija kupata mume kauzu asiyependa matani sijui nitaishije nahisi nitakuwa nakula mabanzi kila sikuHilo neno nililinasa kichwani....
Yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila nanyie mmeuwasha Moto...hasa huyu Hannah Hali ya Nani anaweza kumfanya mtu atapike utumbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha za watoto zimekuwa zinanichanganya sana siku za karibuni..
Marahaba mdogo wangu haujambo??Shkamoo dada
Pale pale kwa Jana?Nasubiri timu pinzaniView attachment 1222917
Wewe dawa yako Ni Lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa yaani mie mwenyewe nilivamia ugomvi tu ila eti ndiyo nikajikuta nina hasira kuliko waliotukanwa hadi kaka wa watu kanung'unika haki inabidi niache huu utani wa kijinga humu JF kuna watu huwa wanamaindi kweli aise yaani mimi nikija kupata mume kauzu asiyependa matani sijui nitaishije nahisi nitakuwa nakula mabanzi kila siku
Kizibacho si kinazibuliwa tuChemchem ishaziba
Unatupia nini etiPoa subiri nitupie kwanza
AiseeeNasubiri timu pinzaniView attachment 1222917
Hamna shidaLeta vifaa tujaribu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sijataja mtu usinichonganishe kabisa na Patrice Lumumba wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeamua kumdharirisha Lizarazu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo Lizarazu Ni mume wa dada au sio!???
Basi umekuwa mkubwa!Picha za watoto zimekuwa zinanichanganya sana siku za karibuni..
Naweza kukaa nikazubaa wee naziangalia tu tofauti tofauti
NdiwoooMarahaba mdogo wangu haujambo??
Nisogezee kachumbali pmNaandaa kachumbari hapa
Nisogezee kachumbali pm
Atakuja hapa na kizungu chake humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sijataja mtu usinichonganishe kabisa na Patrice Lumumba wangu
Hamna shida
Unavihitaji lini?
Hata nami nimeliona hiloBasi umekuwa mkubwa!
Fanya utararibu basi mkuu
Wapi nikuletee?Hata saiv
Kauli hii inavunja moyoNaja