Aaah! ujue anaye tumiwa picha na mumeo alafu anatumiwa na crush wake kwa hyo ruhusa lazima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona nimesema siwezi kuzuia watu kutuma picha [emoji23]
Uzi ni wa picha.
I reserve my comments[emoji6]Natumai hakuna maswali sasa
A wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaah! ujue anaye tumiwa picha na mumeo alafu anatumiwa na crush wake kwa hyo ruhusa lazima
Hii imekaaje?[emoji385]View attachment 1747710
Mimi sijaiona vizuriNatumai hakuna maswali sasa
Kumbe unasubiri tu uchumba uvunjike ili uhame[emoji23][emoji23]Haaa basi endelea kuwa single unisubirie mana humu mambo yanaharibika any time, inaweza siku isiishe nikaachwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unamuachaje bro jamani [emoji134]Ndo hvo wifi bye bye
Msinitishe.Angechelewa yangekua mambo mengine hapa[emoji28]
Jokes tu mchumba....mm na wewe hatuachaniMsinitishe.
Nyie fanyeni tu hata hayo mambo mengine[emoji1787]
Sitishiki hata.
Utashangaa leo waafrica tunagombana wenyewe kwa wenyewe kisa dini,dah..
Hapo kwa veggies sasa, ndo penyewe napenda sanaAina yoyote ile??? I hope unafidia na Veggies [emoji1637]
[emoji335]iko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji385]View attachment 1747710
RIP buddahRIP DMX..The world has lost one of the greatest rapper of all time[emoji120].
Watoto wadogo hamuwezi kuelewaView attachment 1747771
Watu tunatumia bando kwa machale.Humu ndani kumepoa sana. Tatizo bundle eeh[emoji28]
Missing him a lot kwakweli.Watu tunatumia bando kwa machale.
Makampuni yamegoma kushusha.
Angekuwepo mzee baba angetoa kauli moja tu na mambo yangebadilika.
I'm missing him[emoji24]
Kuna persons baadhi wanavyo mdhihaki mwendazake, hadi napatwa na ganzi kabisa mwilini, siamini km ni wao yaan,Sasahivi wako busy kumtupia lawama.
Kila kitu yeye[emoji24]
Moyo wangu unaugua mno.
Ngoja tuwaache wajuvi wafanye mambo .
Hivi kwani hawawezi fanya tu bila kumsimanga?