Nimekombolewa na yesu
Nimekua mtoto wake
Kombooooooo lewa komboooo leeewa
Mimi mwana wake wake
Nakombolewa na damu yake yesuu
Mimi mwana wake kwelii
Ooh yesu wewe ni mungu
Ooh wewe ni baba
Ukombozi ni nguvu yako baba
Ni mfalme wa ajabu
Na sasa najifurahisha katika neema yake
Continue