[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Yesu akamwambia,Mimi ndimi huo ufufuo na uzima.
Yeye aniaminiye Mimi,ajapokufa, atakuwa anaishi;naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele.View attachment 1743152
Nionee huruma Mimi naetaka kurudi shule kusoma MSc na uzee huu, hiyo UE ndiyo itaniua kabisa 😂🙈UE haijawahi zoeleka.
Inachosha sana hasa kwetu sisi team zimamoto.
Acha zako wee, mie nna ndinga langu nalisukuma hapa. Nakaribia kuingia home.Sipandi gari ya mtu mimi wewe ndo uje upande yangu 240G
Huhuhuhuh yaan acha tyuuuh cc, nilikua kifungoni eti,Mdogo wangu naona ulikuwa chali kwa uchovu wa UEView attachment 1742873
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lolKama nyie vijana mnapigwa na hizo UE vipi Kibabu mie nikirudi shule na miaka yangu 78 si nitapigwa hadi nichakae na hizo UE?[emoji23][emoji23][emoji23]
By the way, UE haizoeleki [emoji119]
Jamani dea nilikua buzzy na UE, si unajua mziki wake bas tabu tupu tyuuh.Wow umepotelea wap jmn kipenzi chngu??
Miss u babye[emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UE haijawahi zoeleka.
Inachosha sana hasa kwetu sisi team zimamoto.
Ameeeen [emoji120][emoji120][emoji120]Yesu akamwambia,Mimi ndimi huo ufufuo na uzima.
Yeye aniaminiye Mimi,ajapokufa, atakuwa anaishi;naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele.View attachment 1743152
Mji mkongwe! First time nilipita njia zake ndani huko nilipotea sikujua hata nilipotokea..
Ha haaaaa haaa. Hapo Sio darajani. Vichochoro vya Mji mkongwe ivoKama darajani hapa..mbona mtaa uko tupu kabisa!?
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] mbona viko tupu kabisa?Ha haaaaa haaa. Hapo Sio darajani. Vichochoro vya Mji mkongwe ivo View attachment 1743363
Mji huo kama huna uwenyeji utapotea tu.Mji mkongwe! First time nilipita njia zake ndani huko nilipotea sikujua hata nilipotokea..
Labda wamepiga kipindi cha corona[emoji1545][emoji1545][emoji1545] mbona viko tupu kabisa?