Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,559
- 235,335
Hupimwi kwa siku
Hebu toka tuone itakuwaje[emoji1787]
Cornelius4 Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.
Matendo ya Mitume 10:4
Huyo waziri wa mawasiliano ni boga tu[emoji28]Wanatuletea usumbufu usio wa lazima
Salaam mrembo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona asubuhi nilisema uchumba unaenda kufa!
Amebaki kuwa Kaka.
Umenikumbusha bibi yangu akiuimba wimbo huu kwa lugha ya kwetu!Nimesogea
Mtini pako
Unisafi kwa damu
Ya kuangikwa kwako
Nasikia kuitwa[emoji444]
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Nyimbo bora kwangu naipendaHupimwi kwa siku
Hupimwi saa saa
Unatafsiri
Majira
Huzuiwi na muda
Umejawa na nguvu
Ndiyo maana nakuita Baba
Moyoni
Najawa sifa
Na ujasiri
Katika wewe
Hakuna mlima
Wa kuniangusha
Ndani yako
Nimesimama[emoji7][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445]
Huuu
Nalistahili kupotea
Lakini nahurumiwa
Mungu amenipatanisha
Na Yeye kwa Yesu Kristo
Hivi vyote vyatoka wapi?
Nasema ni huruma tu!
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Hii tenzi huwa initoa sana machozi.Mara nyingi tunapokuwa tuna ibada/sadaka ya shukrani kama familia, huwa tunaomba tusindikizwe na tenzi hii
1. Mungu amenihurumia,
Tendo hili kubwa sana,
Sikustahili jambo hili,
Nimelipata bure tu!
Sasa najua hayo yote X2
Nasifu rehema zake X2
2. Nalistahili kupotea,
Lakini nahurumiwa,
Mungu amenipatanisha,
Na yeye kwa Yesu Kristo,
Sababu hii namtumikia X2
nasifu huruma yake X2
3. Mungu mwenye huruma nyingi,
Usininyime huruma,
Naitafuta siku zote,
Nikiulizwa na watu,
Hivi vyote vyatoka wapi? X2
Nasema ni hurumaβ¦
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtumishi mwenzangu Saint Anne baada ya kuachwa stendi mchana kweupe na bro wangu Jack Palladino!![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1742125
Ni nzuri Sana[emoji3531]Nyimbo bora kwangu naipenda
AmenUmenikumbusha bibi yanu akiuimba wimbo huu kwa lugha ya kwetu!
Barikiwa!
Aslam AleiykumSalaam mrembo
Walyekum salaam.Aslam Aleiykum
Sijui nicomment kitu?πππJPM [emoji174]View attachment 1742149