qeen jojo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,246
- 3,739
Maua sama can dance [emoji12]Beautiful.....
Regina - otile na jux [emoji445]
Maua sama can dance [emoji12]Beautiful.....
Regina - otile na jux [emoji445]
Usimfanyie hvyo jmn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku mzuri na utulivu wa moyo.Sawa
Mimi sijaona kosa.
Do me - nandy ft billnasMaua sama can dance [emoji12]
Mnaoendelea na mapenzi safari njemaUsimfanyie hvyo jmn
Nakuomba usifanye hvo mamaMnaoendelea na mapenzi safari njema
Mie nashuka,yamenishinda[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh aya ngoja niongee na mumiliki wa ardhi kwanzaDo me - nandy ft billnas
🙏✊Duh aya ngoja niongee na mumiliki wa ardhi kwanza
Ulale sasa na wewe[emoji120][emoji110]
Very sureUlale sasa na wewe
Bwana ni mwokozi wangu
Yes mchumba, nice song!Bwana ni mwokozi wangu
Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake haziishi
Si kama binadamu habadiliki[emoji119]
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende Leo kuliko jana
. . . . . . . . . . .
Leo amesulubiwa
Amesema imekwisha[emoji119]