Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa sie ambao tushapitapita makanisa ya kilokole tunajua fika jibu la hili swali[emoji23][emoji1787]
Usije kuwa umepita makanisa ya dar.
Mimi nipo makanisa mbeya ndani ndani huku +kukulia kijijini woooi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usije kuwa umepita makanisa ya dar.
Mimi nipo makanisa mbeya ndani ndani huku +kukulia kijijini woooi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣Kumbe Kuna tofauti?!
Ila si nasikia Mbeya town siku hizi
 
Kuwa mwembamba bora ubaki chibonge, mi mwenyewe wembamba hapana

Ngoja tuwasakue mabaharia wakuje wachukue jiko
Mnashirikiana kutusema kiana we na Mzigua90 nawaona tu 😂😂😂


Saint anne twin ona hawa wadada 😂 wanasema wembamba hapana, inabidi tuongeze juhudi katika kula kabla huu mwaka kuisha nyama ziongezeke.

Pulisic CFC mtetezi we si unapenda vimbau eeh 😂😂
 
We sio mwembamba bhana kile kitako bado nakikumbuka ujue
 
Hivi we umekula mchana? Umeoga? Kila nikipita kuchungulia nakukuta 😂😂😂😂
Kwa kweli sijala Ila kuoga niliogeshwa na mvua ya jana..
Sema Leo njaa naisikia kwa mbaaaliii maana picha sio kama Jana & juzi aisee🤣🤣
 
Pulisic na Lizarazu walishatusifia.
Hao wengine hawana madhara.

Mimi nimewaona,sema nimevaa miwani ya mbao...hawanitishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weka tena nione ili niwatetee vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…