Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23]
FB_IMG_1617383055204.jpg
 
Wengine walienda driving schools kabisa, so obviously walijifunza wakiwa wamevaa viatu; ila leo akivaa viatu anaendesha utafikiri learner. My sister anakuwa na flats pembeni, ila anavaa kiatu mguu wa kushoto afu cha mguu wa kulia anakiweka chini ya seat ili akifika kwa traffic akivae fasta. Basi sio kwa kudondosha huko viatu vya mguu wa kulia, na kubaki na vya mguu wa kushoto [emoji23][emoji23][emoji23]
Mara ya kwanza kujifunza gari nilivua Viatu so tangu kipindi hicho mpka sasa siwezi kuendesha gari na viatu [emoji28][emoji28]
 
Wengine walienda driving schools kabisa, so obviously walijifunza wakiwa wamevaa viatu; ila leo akivaa viatu anaendesha utafikiri learner. My sister anakuwa na flats pembeni, ila anavaa kiatu mguu wa kushoto afu cha mguu wa kulia anakiweka chini ya seat ili akifika kwa traffic akivae fasta. Basi sio kwa kudondosha huko viatu vya mguu wa kulia, na kubaki na vya mguu wa kushoto [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe tuko Wengi loh.ninawifi yangu bhana yeye lazima abaki peku😅😅kha
 
Bora umetoa ufafanuzi ningekuogopa sana[emoji23][emoji23] crush.
Tangu comment ya mwanzo nilielezea uchumba kufa...comment hiyo nikasema unakufa nikimaanisha uchumba unakufa japo nilitamani umalize mwaka maana tulianza uchumba May last year..
Sema sikuweka sentensi vizuri ikawa sentensi Tata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maana yangu si hiyo waliyoimaanisha wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ko umeshakufa tayari?
Turuhusiwe kuchek?
 
Back
Top Bottom